Pata nyimbo zote za kristo za SDA kwa kitabu hiki. Nyimbo zote kwa lugha ya kiswahili. Programu hii inakuwezesha kutafuta nyimbo kwa kirahisi na kwa haraka sana. Unaweza kualamisho nyimbo yoyote ambayo umeipenda kwa kirahisi. Karibu..
Comments will not be approved to be posted if they are SPAM, abusive, off-topic, use profanity, contain a personal attack, or promote hate of any kind.