Nyimbo za Kristo ni programu kamili ya ibada kwa Waadventista wa Sabato. Vipengele: • Nyimbo — Tafuta nyimbo kwa jina, nambari au maneno • Biblia — Soma bila mtandao na tafsiri mbalimbali • Sabbath School — Masomo ya kila wiki ya Shule ya Sabato • Orodha — Tengeneza orodha za nyimbo kwa ibada • Vipendwa — Hifadhi nyimbo unazopenda kwa urahisi • Bila Mtandao — Inafanya kazi bila internet • Giza Mode — Rahisi kwa macho wakati wa jioni
Kila kitu unachohitaji kwa ibada yako — katika programu moja.
Comments will not be approved to be posted if they are SPAM, abusive, off-topic, use profanity, contain a personal attack, or promote hate of any kind.